Breaking News

Rich Mavoko – Ibaki Story | Lyrics/Mashairi




[Verse 1] 
Matapishi ni kinyaa kuzirudisha tena kwenye kinywa Japo mengi ulisema, kama nuru ghafla ukazima Ikawa ngumu kukusahau, 
nikasema moyo ukome Kwa kali sulu na madharau, 
penzi ulivunja na ngome 

[Pre-Chorus] 
Na unajua hata nikilia siwezi kutokwa na machozi We ndo ulifanya macho yangu nione wengi waongo
 Aa ukaudhurumu moyo wangu,
 uliuza penzi kwa magendo Leo unatamani wewe kurudia zamani,
 ni ndoto Wewe nirubuni kwa penzi la kidani kama mtoto 

[Chorus] 
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe
 Mi na wewe, 
acha ibaki story
 mi na we 
Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe

 [Verse 2] 
Kiliniumiza kitanda na shuka tuliolalia Mapenzi yana siri kubwa, sishangai mtu akilia Nimekubali mboni zangu zimtazame mwingine 
Maridhia ya moyo wangu huenda si fungu pengine 
Cha kushangaza hadharani mengi ya kuficha ukaweka wazi
 Nikahisi sijui mapenzi, labda kwako sinogi nazi

 [Pre-Chorus] 
Na unajua hata nikilia, siwezi kutokwa na machozi 
We ndo ulifanya macho yangu nione wengi waongo 
Aa ukaudhurumu moyo wangu, uliuza penzi kwa magendo 
Leo unatamani wewe kurudia zamani, ni ndoto 
Wewe nirubuni kwa penzi la kidani kama mtoto

 [Chorus] 
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe 
Mi na wewe,
 acha ibaki story mi na we 
Mapenzi mi na wewe, 
acha ibaki story 
mi na wewe 

[Bridge] 
Yalinitesa mazoea aya Lakini mi nishazoea mwaya 
Ila tambua mapenzi mabaya 
Kidonda chake hakinaga dawa
 Ee mazoea aah 
Lakini mi nishazoea mwaya
 Ila tambua mapenzi mabaya 
Kidonda chake hakinaga dawa

 [Chorus] 
Mi na wewe, 
acha ibaki story
 mi na we 
Mapenzi mi na wewe, 
uuh uuh 
Mi na wewe, 
acha ibaki story mi na we 
Mapenzi mi na wewe,
 uuh uuh

No comments

Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!