Breaking News

Hatua ya 16 bora michuano Euro 2016

Michuano ya Euro 2016 imemalizika usiku wa June 22 2016 hatua ya makundi kwa michezo ya makundi Kundi F na D kuchezwa, Sweden akipoteza kwa kufungwa goli 1-0 kutoka kwa Ubelgiji, wakati Ireland ameifunga Italia kwa goli 1-0.
Ureno wamelazimisha sare ya goli 3-3 dhidi ya Hungary, huku Iceland wakiifunga Austria kwa goli 2-1, michuano hiyo sasa imeingia hatua ya 16 bora ambayo itaanza Jumamosi ya June 25 2016.

No comments

Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!