Mrembo mwenye asili ya Kongo lakini makazi yake ni Kenya Alicious Theluji leo May 18 2016 anatualika kuitazama video yake mpya ‘Pete’ ambayo amemshirikisha Kidum , Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa wakali hao wataiona.
New VIDEO | Alicios ft Kidum - Pete
Reviewed by erv
on
12:35:00 PM
Rating: 5
No comments