Breaking News

Ndege ya Egyptian Air yatoweka angani

Ndege ya shirika la Egytian Air yenye namba 804 iliyokuwa ikitoka Paris kuelekea Cairo imepotea kwenye radar ikiwa na watu 66.

Ndege hiyo ilikuwa juu umbali wa futi 37,000 ilipopotea muda mfupi baada ya kuingia kwenye anga la Misri. Jeshi la Misri limeanza msako na shughuli za uokozi kwenye eneo hilo.

No comments

Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!